VIDEO: Cheki Polisi walivyowafikisha watu 30 Mahakamani kwa kosa la uvivu na uzembe


Leo Agosti 19, Jeshi la polisi mkoani Morogoro limewafikisha mahakamani watu 30 katika mahakama ya mwanzo mjini Morogoro kwa  tuhuma  ya makosa ya  uzembe na uzururaji kinyume cha Sheria kifungu namba 107 marejeo ya  mwaka 2002.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHIBI......USISAHAU KUSUBSCRIBE