VIDEO: Juma Kaseja afunguka baada ya kipigo kutoka AS Kigali/ Tunarudi kwenye ligi
byMuungwana Blog 1-
0
Kepteni wa timu ya KMC amefunguka mbele ya waandishi wa habari baada ya timu yake kufungwa mabao 2-1 na AS Kigali kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISHAAU KUSUBSCRIBE