VIDEO: Mchungaji amvaa Askofu Kakobe jumla jumla bila uoga, kisa ...


Mchungaji Pastori Rwakasoto amemjia juu Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu mafuta na maji yaliyoombewa na kutumiwa na waumini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items