VIDEO: Magoli yote Simba SC vs Power Dynamos (3-1)/ Kagere ashangilia kwa staili mpya


Klabu ya soka ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Power Dynamos kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mogoli yote ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi