VIDEO: Manara afunguka mazito, "Tutachukua makombe yote miaka 10 mfululizo/ Siwapendi Gongowazi/ Kuna mwaka watanielewa"

Msemaji wa Simba SC Haji Manara amefunguka kuwa wamepanga kuchukua kombe la ligi kuu Tanzania Bara kwa miaka 10 mfululizo, pia kwa mwaka huu watachukua kila kombe watakalo shiriki huku wakiwa na malengo ya kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika. Manara pia ameweka wazi kuwa hawapendi watani wao wa jadi Yanga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE