VIDEO: Mchambuzi Mahiri Abbas Pira aichambua kiufundi mechi ya Simba na Azam Jumamosi


Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii Jumamosi hii kati ya Simba SC na AZAM FC. mchambuzi mahiri wa benchi la ufundi, Abbas Pira amefunguka kiufundi kuhusu mchezo huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items