VIDEO: Kama hamtabadili mbinu ya kufanya kazi mumeiungia kwenye moto - Naibu Waziri


Naibu waziri  wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabura,akiwa mkoani Tabora  amekagua ofisi ya Ardhi manispaa ya Tabora na kubaini ucheleweshaji Katika utoaji hati na hivyo kuagiza Afisa Ardhi mteule wa manispaa ya Tabora Daud Msinge kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ...USIKOSE KU-SUBSCRIBE