VIDEO: "Sionei mtu, sina haja ya kujivunia tufanye kazi" Dkt Madeni


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni amesema kuwa Mamlaka ya Ukarabati wa barabarani Mjini na Vijijini TARURA inatakiwa kufanya kazi kwa kuwa baadhi yao wamekuwa wakienda kinyume na taratibu na kujiona wako juu ya sheria na ni mamlaka inayojitegemea.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..... USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items