VIDEO: Dismas Ten aweka wazi mchezo wao na Township Rollers/ Wachezaji watatu muhimu mbioni kuukosa mchezo

  
 Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Dismas Ten amefunguka kuhusu mchezo wao wa Jumamosi wa klabu biungwa Afrika dhidi ya Township Rollers. Dismas amesema kuwa wachezaji wao watatu bado hawajapata leseni za CAF ambazo zitawawezesha kucheza mechi hiyo lakini wanaimani watazipata kabla ya mchezo huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items