VIDEO: ''Tumewakamata viongozi watatu walioanzisha maandamano'' Mambosasa


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam,Lazaro Mambosasa amethibitsha kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kuwa viongozi walioanzisha maandamano ya kushinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE