VIDEO: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watangazwa rasmi


Waziri wa Nchi Ofis,ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo leo ametangaza rasmi tarehe ya uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa, na amebainisha kanuni na nafasi mbalimbali ambazo zitagombaniwa katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa,utakao fanyika hapo baadaye.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE...

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items