F VIDEO: Vita ya mapato ni sawa na vita ya madawa ya kulevya | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Vita ya mapato ni sawa na vita ya madawa ya kulevya


Baraza la Madiwani katika Jiji la Arusha kupitia Mstahiki Meya wake Kalist Lazaro amempongeza Mkurugenzi wa Jiji hilo Dkt Maulid Madeni kwa kufanya oparesheni za kukusanya mapato huku licha ya kuwa kuna vita kubwa nyuma yake.

Akizungumza katika mkutano wa kawaida wa baraza la madiwani wa halmashauri ya jiji la Arusha katika robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2018/2019 amesema suala la la ukusanyaji wa mapato ni kama vita ya madawa ya kulevya

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE