VIDEO: Zitto Kabwe afanya ziara ya kushtukiza soko la Tandale/ Afunguka kuhusu Mbaazi na Korosho


Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amefanya ziara ya kushtukiza katika soko la Tandale jijini Dar es Salaam na kuongea na wafanyabiashara huku akikumbushia kuhusu zao la Mbaazi lilivyoshuka bei pamoja na sakata lililotokea kwenye Korosho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items