VIDEO: Bukoba palikuwa na kichwa cha mwendawazimu -Chief Karumuna


Meya wa manispaa ya Bukoba Mh, Chief Karumuna amesema kuwa kipindi cha mwaka 2010 adi 2015 manispaa ya bukoba ilikuwa kichwa cha mwenda wazimu ambapo madiwani wake walikuwa wakirumbana na kupigana hali ambayo ilipelekea fedha za miradi ya maendeleo zilizokuwa zimetolewa na benki ya dunia kurudishwa na hatimaye maendeleo katika manispaa hiyo kukwama.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USIKOSE KU-SBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items