Wachezaji Ally Salim na Yahya Mbegu wajumuishwa timu ya Taifa U20

Wachezaji Ally Salim na Yahya Mbegu wametajwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa U20 ambao wataingia kambini kujiandaa na mashindano ya CECAFA U20 yatakayofanyika mwezi Septemba nchini Uganda.


Mpya zaidi Nzee zaidi