Kiasi cha watu 150 wamefanikiwa kuingia katika ardhi ya Umoja wa Ulaya kwa kukivamia kisiwa cha Uhispania cha Ceuta kutokea nchini Morocco.
Kwa ujumla watu 250 walijaribu kuuvunja uzio uliozungushwa mara mbili wa urefu wa mita sita katika mpaka kati ya kisiwa hicho na Morocco.
Wahamiaji 100 hawakufanikiwa kuingia Ceuta kwa mujibu wa msemaji wa serikali katika kisiwa hicho cha Ceuta.
Katika tukio hilo polisi 12 wa kikosi cha ulinzi walipata majeraha madogo wakijaribu kuzuia sokomoko hilo.
Visiwa vya Ceuta na Melilla ni moja ya visiwa vidogo vya Uhispania vilivyoko katika eneo la pwani ya Afrika Kaskazini.