Watu watano wakiwemo watoto wawili wamepoteza maisha baada ya kupigwa na radi katika Milima ya Tatra kati ya Poland na Slovakia.
Kwa mujibu wa habari,eneo hilo limekumbwa na dhoruba.
Watoto wawili wameripotiwa kuwa kati ya wale waliouwa na radi hiyo.
Piotr Cwik, afisa wa mkoa wa Krakow amesema kwamba miili minne imepatikana Poland na mmoja katika mpaka wa Slovakia.