Watu 23 wamepotea baada ya meli ya abiria kuwaka moto

Watu 23 wamepotea baada ya meli ya abiria kushika moto kwenye Kisiwa cha Java cha Indonesia pwani ya Masalembu.

Kulingana na taarifa iliyotolewa mashariki mwa Santana,kivuko hicho kiliwka moto bila ya kujulikana sababu kuu ya kutokea kwa moto huo.

Meli hiyo ilikuwa imebeba abiria 162.Abiria 139 kati yao wameokolewa.

Wengine 23 bado wanatafutwa.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items