Hispania yatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Kikapu 2019


Timu ya Taifa Hispania imeshinda ubingwa wa Kombe la Dunia la Kikapu 2019 baada ya kuifunga Argentina kwa pointi 95-75 katika mchezo wa fainali leo huko nchini China.

Hii ni mara ya pili Hispania wanashinda ubingwa huo, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia