Loading...

9/13/2019

IGP Sirro apokea uwanja wa mafunzo ya Askari katika shule ya Polisi Moshi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas  pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili katika Shule ya Polisi Moshi katika hafla ya kupokea Uwanja wa Mafunzo ya Askari uliojengwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. (Picha na Jeshi la Polisi).

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu akipokelewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro baada ya kuwasili katika Shule ya  Polisi Moshi alipoudhulia hafla ya kupokea Uwanja wa Mafunzo ya Askari uliojengwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. (Picha na Jeshi la Polisi).

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ambaye ni mgeni rasmi akiwasili katika ufunguzi wa Uwanja wa Mafunzo ya Askari katika Shule ya Polisi Moshi na  kulia kwake  ni  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro alie mkoni wa kushoto wa mgeni rasim (Picha na Jeshi la Polisi).KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger