Serikali yatangaza kusimamishwa kazi kwa watumishi watatu


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameelekeza kusimamishwa kazi kwa watumishi 3 wa sekta ya ardhi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kukiuka sheria za ardhi.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items