https://monetag.com/?ref_id=TTIb Tammy Abraham azidi kuipaisha Chelsea ya Lampard | Muungwana BLOG

Tammy Abraham azidi kuipaisha Chelsea ya Lampard

Mshambuliaji Tammy Abraham amefanikiwa kupiga hat-trick nakuisaidia klabu yake ya Chelsea kuichapa Wolves 5-2 kwenye mchezo uliochezwa leo.

Fikayo Tomori naye aliweza kufunga goli lake la kwanza kwenye timu ya wa kubwa ya Chelsea na jingine likifungwa na Mason Mount.

Magoli ya Wolvehampton yalifungwa na Cutrone na jingine alijifunga Tammy Abraham.