VIDEO: Cheki mashabiki Yanga walivyoingia uwanja wa taifa kwa mbwembwe


Mashabiki wa klabu ya Yanga Sc leo Septemba 14 wametinga uwanjani wa taifa kwa shangwe kuja kuishangilia klabu yao kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco kutoka nchini Zimbabwe.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINUI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items