VIDEO: Zesco wagoma kushuka Taifa kwa robo saa, Kamusoko na Mjapan wapagawisha
byMuungwana Blog 1-
0
Klabu ya soka ya Zesco ya Zambia imetinga uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakiwa na wachezaji wao hatari akiwemo Thabani Kamusoko na Mjapani wao. Lakini Zesco waligoma kushuka kwenye gari lao kwa takribani robo saa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE