VIDEO: Yanga ni umafia tu, yatinga Taifa na mlango tofauti


Klabu ya soka ya Yanga imetinga uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa na wachezaji wake wote hatari isipokuwa David Molinga ambaye ataukosa mchezo huu na Zzesco. Wakati huo huo Yanga wamepita katika mlango wa tofauti.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items