VIDEO: Kocha Lwandamina afunguka kukutana na timu yake ya zamani "Yanga" kwenye klabu bingwa Afrika
byMuungwana Blog 1-
0
Kocha George Lwandamina wa klabu ya Zesco ya Zambia amefunguka kuelekea mchezo wa klabu bingwa Afrika ambao watakutana na timu yake ya zamani ya Yanga Jumamosi hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE