VIDEO: Meddie Kagere alivyowaongoza wenzake wa Simba kutinga uwanja wa Uhuru kuwavaa Mtibwa Sugar

 
Mshambuliaji Meddie Kagere amewaongoza wachezaji wenzake wa Simba SC kutinga katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwavaa Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items