VIDEO: Wachezaji hatari wa Mtibwa Sugar waliowahi kucheza Simba walivyotinga uwanjani "Kumchinja" Mnyama
byMuungwana Blog 1-
0
Wachezaji wa Mtibwa Sugar ambao wamewahi kucheza Simba akiwemo Abdulkarim Humud, Hauna Chanongo, Henry Joseph, Issa Rashid (Baba Ubaya), walivyowaongoza wenzao kutingwa uwanja wa Uhuru kuwavaa Simba kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE