VIDEO: Vichekesho vya Steve Nyerere ni hatari/ Awavaa wasanii wenzake "Mutazikwa na Manispaa"


Steve Nyerere ni miongoni mwa baadhi ya wasanii ambao wapo kwenye kamati ya hamaa na ushindi ya Taifa Stars inayoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Jumanne hii katika ukumbi wa hoteli ya Sea Criff iliyopo Masaki, akiongea mbele ya waandishi wa habari Steve amewavaa wasanii wenzake ambao wamekuwa wakitaka fedha wanapoitwa kwenye kujitolea katika kuhamasisha Taifa Stars ifanye vizuri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISHAAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items