Msemaji wa klabu ya Simba ambaye pia ni mmoja wa viongozi wa kamati ya hamasa na ushindi, Haji Manara, amefunguka kuhusu watanzania kushirikiana kutoa ushirikiano kwa timu ya Taifa Stars ambapo amechukulia mfano kama kauli mbiu ya "Kubwa Kuliko" ya Yanga.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
