VIDEO: Wakili Manyama aibuka na sakata la kuachiwa ndege ya Air Tanzania


Wakili wa kujitegemea, Leonard Manyama leo  Septemba 4 ameibuka na kuonyesha hisia zake baada ya kuachiwa ndege ya shirika la ATCL iliyokuwa imeshikiliwa nchini Afrika Kusini huku akisema wote waliohujumu na kufarahia kukamatwa kwa ndege hiyo kukamatwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE