VIDEO: Walimu 10 wakamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mitihani


Wasimamizi wa mtihani watano na walimu wa shule ya msingi Kumunazi wilayani Ngara mkoani Kagera wamekamatwa na jeshi la polisi wakijaribu kuvujisha mtihani huo kwa baadhi ya watahiniwa. Kamanda wa polisi mkoani humo Revocatus Malimi amezibitisha kukamatwa kwa walimu hao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE