Loading...

9/13/2019

VIDEO: Tazama magoli yote ya Simba (2-1) VS Mtibwa Sugar


Klabu ya soka ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Loading...