VIDEO: Serikali yamkana Musiba, Kangi Lugola ampa onyo /aponzwa na kauli zake
byMuungwana Blog 2-
0
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola, amemuonya mwanaharakati
huru Cyprian Musiba katika harakati zake asiitaje Serikali na badala
yake afanye harakati hizo binafsi bila kuitaja Serikali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE