VIDEO: Kocha wa Mtibwa Sugar aukubali mziki wa Simba "Hawakutupa uhuru"
byMuungwana Blog 1-
0
Kocha wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila, ameonekana kuukubali mziki wa kikosi cha Simba SC baada ya kufungwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE