Loading...

9/13/2019

VIDEO: Waziri Mkuu aamsha shangwe bungeni, aipongeza Yanga, Azam ''Simba ijitathimini''


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo wakati akihitimisha shughuri za bunge, amezipongeza timu za Tanzania ambazo  zimefanikiwa kusonga mbele kwenye kombe la klabu bingwa Afrika na kombe la shirikisho, vilabu hivyo ni Yanga, Azam na Malindi ya Zanzibar.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger