Aliyewafunga Yanga goli tatu jana aitwa Taifa Stars
byMuungwana Blog 3-
0
Kocha wa Taifa Stars amemuongeza mshambuliaji Ditrama Nchimbi kwenye Kikosi cha Taifa Stars. Utakumbuka hapo jana Nchimbi kutoka Polisi Tanzania alifiunga magoli matatu dhidi ya Yanga.