Barabara ya kutoka Dar kwenda mikoa ya Kaskazini haipitiki baada ya daraja kujaa maji

 Jeshi la Polisi limewataka watu wanaosafiri kuelekea mikoa ya Kaskazini na wanaokuja Dar kutoka mikoa hiyo kupitia Handeni hadi Mkata kutokana na miundombinu ya barabara eneo la Mandera kujaa maji tangu jana mchana.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items