PICHA: Simba yawasili Kigoma na kufungua tawi la Tanganyika
byMuungwana Blog 2-
0
Kikosi cha klabu ya Simba kikiwa njiani kwenda hotelini, kimepitia eneo la Ujiji na kufungua Tawi la Simba la Tanganyika. Asanteni kwa mapokezi mazuri watu wa Kigoma.
Hii ni mara baada ya timu hiyo kuwasili kwaajili ya mechi mbili za kirafiki.