Chuo Kikuu Peking cha China 'chatunza' nukuu za Mwalimu Nyerere


Chuo Kikuu cha Peking cha nchini China, kimeweka nukuu mbalimbali za Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika eneo la kuingilia Maktaba ya Chuo hicho ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Nukuu hizo zitawekuwepo chuoni hapo kwa mwezi mzima hadi Novemba 2019.