Loading...

10/07/2019

Diamond atwaa tuzo Ulaya


Mwanamziki Maarufu kwa sasa Barani Africa Diamond Platnumz Ajinyakulia Tuzo ya Boa Tuzo Hizo pia zimewaendea Wachezaji Kutoka Ligi kuu Nchini Uingereza Ngolo kante kutoka club ya Chelsea pamoja na star wa crystal palace wilfred Zaha.

Tuzo za Best of Africa huwa zinawahusisha zaidi wanasoka pamoja na watu mashuhuri mbalimbali ambao wanafanya vizuri kutoka Africa, Diamond Platnumz ni Mmoja ya Mastaa waliohudhuria Mwaka Huu.

Pichani chini ni Diamond akiwa na aliyewahi kua mkali wa soka beki wa zamani wa Manchester United akifahamika kwa jina Rio Ferdinand.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger