IGP Sirro afanya ziara ndogo katika kituo cha Polisi cha Ruangwa Lindi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo mkoani Lindi
Maafisa na wakaguzi wakimpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwaajili ya kusikiliza changamoto za askari wa kituo hicho
  
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu kutoka kwa CPL Zurith baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa alipopitia akiwa katika ziara ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Joseph Magufuli