F Mbwana Samatta afunga ndoa | Muungwana BLOG

Mbwana Samatta afunga ndoa


Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amefunga ndoa na mpenzi wake Naima Omary ambaye ni mama wa watoto wake wawili, usiku wa leo jijjni Dar es Salaam.