Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya na Songwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi