VIDEO: Afisa tarafa awacharakia wananchi wa nyongaji


Gavana awacharukia wananchi “Mlishawahi kuona mtu amejinyonga halafu miguu imeshika chini,huo mchezo acheni”

Afisa tarafa wa Igominyi halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe Tumaini Nganyagwa,amewaonya na kuwataka wananchi wa kijiji cha Mtila kuacha tabia ya kuwanyonga watu na kisha kuwatundika kwenye mti na kudai wamejinyonga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAHU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items