PICHA: Wachezaji wa Ngorongoro Heroes wawasili salama nchini baada ya kunyakua ubingwa
byMuungwana Blog 2-
0
Mabingwa wa CECAFA U20 Timu ya Vijana U20 Tanzania Bara wamewasili salama na kupokelewa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.