Picha: Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi katika kituo cha kupozea umeme


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida 

Mpya zaidi Nzee zaidi