![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Tunduma, Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiwa wameongozana na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakiwasili Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuliambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo |





