RC Gaguti akoshwa na mama mfuga samaki, atoa maagizo mazito


Msajiriamali ambaye amejiajili katika ufugaji na uzalishaji wa samaki katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amesema kukatika kwa umeme mara kwa mara kumemsababishia hasara kubwa adi kufikia hatua ya kutaka kukata tamaa na kuendelea na ufugaji na kuzalisha samaki hali ambayo anaamini ingemsaidia kujikwamua kiuchumi na kujiajiri.

Bi, Renatha Eliasi amesema hayo leo wakati mkuu wa mkoa Kagera Bri. Jen. Marco E. Gaguti alimpomtembelea mjasiriamali huyo ili kuona jinsi gani anaweza kumsaidia kutatua changamoto zinazo mkabili katika ufugaji na uzalishaji vifaranga vya samaki kwakuwa ni kijana aliyedhubutu akiwa na umri mdogo huku akiwa na malengo makubwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



Mpya zaidi Nzee zaidi