Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka Wakala wa Majengo Tanzania TBA kuhakikisha ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo unakamilika na kuanza kutumika kabla ya Disemba 30 Mwaka huu likiwa Viwango na Ubora unaotakiwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
